Ufafanuzi wa mwinikanguru katika Kiswahili

mwinikanguru

nomino

  • 1

    mmea unaoota kwenye maji utoao maua makubwa yanayoelea.

    myungiyungi

Matamshi

mwinikanguru

/mwinikanguru/