Ufafanuzi wa mwoga katika Kiswahili

mwoga

nominoPlural woga

  • 1

    mtu au mnyama mwenye tabia ya kuchelea mapambano au hatari.

    methali ‘Kwa mwoga huenda kicheko, kwa shujaa huenda kilio’

Matamshi

mwoga

/mwɔga/