Ufafanuzi wa mwogofyo katika Kiswahili

mwogofyo

nominoPlural myogofyo

  • 1

    hali ya kutisha au kuogofya.

Matamshi

mwogofyo

/mwɔgɔfjɔ/