Ufafanuzi wa mwokoaji katika Kiswahili

mwokoaji

nomino

  • 1

    mtu anayeokoa mtu au kitu.

Matamshi

mwokoaji

/mwɔkɔwaʄi/