Ufafanuzi wa mzabibu katika Kiswahili

mzabibu

nomino

  • 1

    mmea unaozaa zabibu zinazotengenezwa divai na mvinyo.

Asili

Kar

Matamshi

mzabibu

/mzabibu/