Ufafanuzi wa mzalendo katika Kiswahili

mzalendo

nominoPlural wazalendo

  • 1

    mtu anayependa nchi yake na yuko tayari kuifia.

  • 2

    mtu aliyezaliwa mahali fulani; mtu aliye mwenyeji na mwenye asili na mahali fulani alipozaliwa.

Matamshi

mzalendo

/mzalɛndɔ/