Ufafanuzi wa mzia katika Kiswahili

mzia

nomino

  • 1

    samaki mwenye ukubwa wa kadiri, umbo la mviringo, rangi ya kijivu mgongoni, nyeupe tumboni na kichwa kirefu.

Matamshi

mzia

/mzija/