Ufafanuzi wa mzinduo katika Kiswahili

mzinduo

nomino

  • 1

    tendo la kugutusha au kutanabahisha mtu aliyekuwa ameduwaa.

    mtanabahisho

Matamshi

mzinduo

/mzinduÉ”/