Ufafanuzi wa naibu katika Kiswahili

naibu

nominoPlural manaibu

  • 1

    msaidizi wa kiongozi ambaye ana kazi maalumu na anaweza kuongoza wakati kiongozi hayupo.

Asili

Kar

Matamshi

naibu

/naIbu/