Ufafanuzi wa namna katika Kiswahili

namna

nomino

  • 1

    jinsi au mfano wa kitu, tendo au jambo.

    ‘Kitambaa chenyewe ni cha namna ya kunguru’
    aina, nui

Asili

Kaj