Ufafanuzi wa nandu katika Kiswahili

nandu

nominoPlural nandu

  • 1

    sayari mojawapo katika anga, agh. huonekana nyakati za mapambazuko.

  • 2

    nyota ya alfajiri.

    zuhura, ng’andu

Matamshi

nandu

/nandu/