Ufafanuzi wa nargisi katika Kiswahili

nargisi

nominoPlural nargisi

  • 1

    mmea wenye majani marefu membamba na mazito, hutoa maua meupe yanayonukia.

Asili

Kar

Matamshi

nargisi

/nargisi/