Ufafanuzi wa nawiri katika Kiswahili

nawiri

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    kuwa na nuru; onekana kuwa na afya nzuri au hali njema.

Asili

Kar

Matamshi

nawiri

/nawiri/