Ufafanuzi wa ncha katika Kiswahili

ncha

nominoPlural ncha

  • 1

    sehemu ya mwanzo au mwisho ya kitu kilichochongoka.

    ‘Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha’

Matamshi

ncha

/n ntʃa/