Ufafanuzi wa ndama katika Kiswahili

ndama

nominoPlural ndama

  • 1

    mtoto wa mnyama, hasa ng’ombe na nyati.

Matamshi

ndama

/ndama/