Ufafanuzi wa ndeme katika Kiswahili

ndeme

nomino

  • 1

    punje ya choroko iliyoharibika na isiyoiva wakati wa kupikwa.

Matamshi

ndeme

/ndɛmɛ/