Ufafanuzi wa nderemo katika Kiswahili

nderemo

nominoPlural nderemo

  • 1

    hali ya moyo kuwa na furaha kwa sababu fulani k.v. harusi, shangwe au sherehe.

    kigelegele

Matamshi

nderemo

/ndɛrɛmɔ/