Ufafanuzi wa ndude katika Kiswahili

ndude

nominoPlural ndude

  • 1

    neno linalotumiwa kuashiria kitu bila ya kukitaja jina lake au kabla ya kukitaja.

Matamshi

ndude

/ndudɛ/