Ufafanuzi wa ndumba katika Kiswahili

ndumba

nomino

  • 1

    uganga wa kienyeji unaotumiwa kwa kuponyesha au kudhuru.

Matamshi

ndumba

/ndumba/