Ufafanuzi wa ndumo katika Kiswahili

ndumo

nominoPlural ndumo

  • 1

    sauti ya kutia mori watu ili kuwa tayari kufanya jambo vitani au katika sherehe.

  • 2

    msemo wa busara wa kuonya au kuongoza.

Matamshi

ndumo

/ndumɔ/