Ufafanuzi wa neemeka katika Kiswahili

neemeka

kitenzi sielekezi~ea, ~eka, ~esha

  • 1

    pata neema; kuwa na nafasi ya maisha mazuri.

  • 2

    pata jambo jema.

Asili

Kar

Matamshi

neemeka

/nɛ:mɛka/