Ufafanuzi wa neemesha katika Kiswahili

neemesha

kitenzi elekezi

  • 1

    -pa mtu riziki au mali nyingi.

Asili

Kar

Matamshi

neemesha

/nɛ:mɛ∫a/