Ufafanuzi wa neemevu katika Kiswahili

neemevu

kivumishi

  • 1

    -enye kupata neema; -enye ustawi.

Asili

Kar

Matamshi

neemevu

/nɛ:mɛvu/