Ufafanuzi wa ng’aa katika Kiswahili

ng’aa

kitenzi sielekezi~lia, ~lika, ~lisha, ~za

  • 1

    toa nuru; toa mwangaza.

    ng’ara, waa, angaza

Matamshi

ng’aa

/ŋa:/