Ufafanuzi wa ng’aavu katika Kiswahili

ng’aavu

kivumishi

  • 1

    -enye kung’aa.

Matamshi

ng’aavu

/ŋa:vu/