Ufafanuzi wa ng’amua katika Kiswahili

ng’amua

kitenzi elekezi~ana, ~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    tambua yanayotendeka; gundua hila za watu fulani.

    jua, maizi, kengeuka

Matamshi

ng’amua

/ŋamuwa/