Ufafanuzi wa ng’ang’ania katika Kiswahili

ng’ang’ania

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    shika kwa nguvu kisitoke au kuanguka.

  • 2

    shikilia lile unalotaka wewe liwe.

    mamania, shikilia

Matamshi

ng’ang’ania

/ŋaŋanija/