Ufafanuzi msingi wa ng’oa katika Kiswahili

: ng’oa1ng’oa2

ng’oa1

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lesha, ~lewa, ~ana

  • 1

    ondoa kitu kilichopandwa au kilichopigiliwa au kumea k.v. mmea, msumari au jino.

    kupua, zidua

Matamshi

ng’oa

/ŋɔwa/

Ufafanuzi msingi wa ng’oa katika Kiswahili

: ng’oa1ng’oa2

ng’oa2

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~lesha, ~lewa, ~ana

  • 1

    ondoa madarakani.

Matamshi

ng’oa

/ŋɔwa/