Ufafanuzi wa ngabu katika Kiswahili

ngabu

nominoPlural ngabu

  • 1

    chombo cha seremala kinachofanana na patasi na kinachotumika kufanyia michoro kama kifereji au uvungu katika ubao.

    sokondo, bobari

Matamshi

ngabu

/ngabu/