Ufafanuzi wa nge katika Kiswahili

nge

nomino

  • 1

    mdudu wa rangi ya kahawia au nyeusi mwenye miguu minane na mkia mrefu wenye mwiba wa sumu nchani.

Matamshi

nge

/n ngÉ›/