Ufafanuzi wa ngojea katika Kiswahili

ngojea

kitenzi elekezi~ana, ~ewa, ~ka, ~lea, ~leana, ~sha, ~wa

  • 1

    kaa mahali kwa mategemeo ya kuona mtu au kitu fulani.

    subiri

Matamshi

ngojea

/ngɔʄɛja/