Ufafanuzi msingi wa ngonjera katika Kiswahili

: ngonjera1ngonjera2

ngonjera1

nominoPlural ngonjera

  • 1

    mashairi ya kujibizana baina ya watu wawili au zaidi.

Matamshi

ngonjera

/ngɔnʄɛra/

Ufafanuzi msingi wa ngonjera katika Kiswahili

: ngonjera1ngonjera2

ngonjera2

nominoPlural ngonjera

  • 1

    ‘Kila ukielezwa wewe unaleta ngonjera zako’

Matamshi

ngonjera

/ngɔnʄɛra/