Ufafanuzi wa ngudu katika Kiswahili

ngudu

kielezi

  • 1

    tamko linalotumika kuonyesha kuwa aliyelitamka kajitoa kabisa katika mchezo.

Matamshi

ngudu

/ngudu/