Ufafanuzi wa ngumbaru katika Kiswahili

ngumbaru

nominoPlural ngumbaru

  • 1

    mtu mwenye machachari, matata na fujo.

  • 2

    mtu mzima; mtu wa makamo.

Matamshi

ngumbaru

/ngumbaru/