Ufafanuzi wa nguruwe katika Kiswahili

nguruwe

nominoPlural nguruwe

  • 1

    mnyama afugwaye aliye mnene na mfupi, mwenye pua kubwa na ndefu, miguu mifupi, mkia mfupi.

    ‘Nguruwe mwitu’
    hinziri

Matamshi

nguruwe

/nguruwɛ/