Definition of nia in Swahili

nia

noun

  • 1

    dhamira ya kutaka kukamilisha jambo au haja.

    kusudio, gharadhi, lengo, ari, ghaidhi, dhamiri, dhamira, maarubu, madhumuni, matarajio

Origin

Kar

Pronunciation

nia

/nija/