Ufafanuzi wa ningu katika Kiswahili

ningu

nomino

  • 1

    samaki mpana wa maji baridi mwenye miba mingi myembamba mwili mzima k.v. mkonge wa baharini.

Matamshi

ningu

/ningu/