Ufafanuzi wa niru katika Kiswahili

niru

nominoPlural niru

  • 1

    kitu mfano wa chokaa ambacho hutumiwa kupaka kuta za nyumba kabla ya kupaka rangi.

Matamshi

niru

/niru/