Ufafanuzi msingi wa njiti katika Kiswahili

: njiti1njiti2

njiti1

nominoPlural njiti

  • 1

    vipande vidogo vya miti vyenye risasi mwishoni, agh. hutiwa ndani ya kaka la kibiriti na kutumiwa kuwashia moto.

Matamshi

njiti

/nʄiti/

Ufafanuzi msingi wa njiti katika Kiswahili

: njiti1njiti2

njiti2

nominoPlural njiti

  • 1

    mtoto anayezaliwa kabla ya kutimiza miezi tisa tumboni mwa mama yake.

Matamshi

njiti

/nʄiti/