Ufafanuzi wa njuti katika Kiswahili

njuti

nomino

  • 1

    kiatu cha ngozi kinachofunika mguu mzima.

Asili

Khi

Matamshi

njuti

/nʄuti/