Ufafanuzi wa noga katika Kiswahili

noga

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa tamu; kuwa zuri.

    ‘Mambo yalinoga’
    ‘Mchuzi umenoga’

Matamshi

noga

/nɔga/