Ufafanuzi wa nokoa katika Kiswahili

nokoa

nominoPlural manokoa

  • 1

    msimamizi mdogo wa shamba na aliye chini ya mkadamu, agh. kwenye mashamba ya mabwanyenye.

  • 2

    mlinzi anayesimamia kazi shambani.

Asili

Kaj

Matamshi

nokoa

/nɔkɔwa/