Ufafanuzi msingi wa nondo katika Kiswahili

: nondo1nondo2nondo3

nondo1

nominoPlural nondo

 • 1

  mdudu mdogo mfano wa kipepeo, agh. huruka wakati wa usiku.

Matamshi

nondo

/nɔndɔ/

Ufafanuzi msingi wa nondo katika Kiswahili

: nondo1nondo2nondo3

nondo2

nominoPlural nondo

 • 1

  nyoka anayefikiriwa kuwa mkubwa sana na ambaye baadhi ya watu huamini kuwa huleta bahati nzuri; mkuu wa nyika.

Matamshi

nondo

/nɔndɔ/

Ufafanuzi msingi wa nondo katika Kiswahili

: nondo1nondo2nondo3

nondo3

nominoPlural nondo

 • 1

  vipande vyembamba na duara vya chuma ambavyo hutumiwa kwenye ujenzi na kutiwa katika madirisha, n.k..

  ‘Nondo za dirisha’

Matamshi

nondo

/nɔndɔ/