Ufafanuzi wa nono katika Kiswahili

nono

kivumishi

  • 1

    -enye mafuta mengi k.v. nyama.

Matamshi

nono

/nɔnɔ/