Ufafanuzi wa nukushi katika Kiswahili

nukushi, nukulishi

nomino

  • 1

    mashine ya kutuma nakala za matini kwa njia ya simu.

    faksi