Ufafanuzi msingi wa nundu katika Kiswahili

: nundu1nundu2

nundu1

nominoPlural nundu

  • 1

    sehemu ya mnyama k.v. ng’ombe au ngamia iliyotokeza mgongoni.

Matamshi

nundu

/nundu/

Ufafanuzi msingi wa nundu katika Kiswahili

: nundu1nundu2

nundu2

nominoPlural nundu

  • 1

    mnyama mdogo kama panya arukaye, anayekula matunda na wadudu, mwenye tabia ya kujificha mahali penye gizagiza mchana na huonekana usiku.

    popo

Matamshi

nundu

/nundu/