Ufafanuzi wa nusa katika Kiswahili

nusa

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa, ~wa

  • 1

    vuta pumzi kwa pua ili kuhisi harufu.

  • 2

    vuta kwa pua kitu kama vile tumbaku iliyosagwa.

Matamshi

nusa

/nusa/