Ufafanuzi wa nyani katika Kiswahili

nyani

nominoPlural manyani

  • 1

    mnyama anayefanana na tumbiri lakini mkubwa zaidi mwenye rangi ya kaki ya kijivu na ngoko nyekundu matakoni.

    methali ‘Nyani haoni kundule’
    methali ‘Nyani akikosa bungo husema li chungu’

Matamshi

nyani

/…≤ani/