Ufafanuzi wa nyarafu katika Kiswahili

nyarafu

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~iana, ~isha, ~iwa

  • 1

    jiepusha na kitu au mtu kwa sababu ni mchafu au tabia yake ni mbaya.

    beza, dharau

Matamshi

nyarafu

/ɲarafu/