Ufafanuzi wa nyoa katika Kiswahili

nyoa

kitenzi elekezi~ana, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    ondoa nywele za mtu au manyoya ya mnyama kwa kitu chenye makali k.v. wembe, kisu au mkasi.

    chega

Matamshi

nyoa

/ɲɔwa/